Promote your business for free

THIS BLOG IS SPONSORED BY AFRICAN SOCIAL NETWORK ,THE SOCIALY NETWORK PAY ITS USER IN POINTS BASED JOIN NOW AND SEE HOW MUCH MONEY YOU CAN MAKE USING SOCIAL NETWORK. | FEEL FREE TO ADVERTISE ON WWW.BONGLOB.COM

Wednesday 12 June 2013

Bonglob.com to sell shares at $12, values company at $84bn for Africa

Bonglob.com  will officially begin trading at $12 (£14) per share on november 2013  in what will be the biggest IPO ever from an internet company from Tanzania east Africa.

After a very short time of the social network to be online it have come to attention that the site have over 2 million user in a day and new members over 3000 per day. This have come to attention Mr James Obedi
 the CEO of bonglob company being contacted by the big leading company GOOGLE that the want to buy his site for £2.5 million and Mr.James  has refuse the offer and reveal that he want to sell his company into shares which he think it will boost africa advertisement and the growth of the Africans business
The CEO himself, who founded the company in his house in reading united kingdom, is expected to become an instant billionaire, selling over 10m shares to net over $1bn (£300m).
The $12 shares, which will be available to buy to the public, will see the company valued at a staggering $84 billion (£33bn) overall, with $31 (£41bn) market capitalisation.

Sunday 14 October 2012

The African social netwok on you computer download now www.bonglob.com

Hi everyone our African Social network can be downloaded now from links below
enjoying using african social network from Africa


Tuesday 5 June 2012

Sunday 27 May 2012

Tunasikitika kutangaza kuwa


 Mr and Mrs Frank Mushi wa 125 Blandford Road, Reading,
 wanasikitika kuwaarifu msiba wa mama yake mzazi Frank Mushi uliotokea jana usiku
 Moshi, Tanzania.
  Kama ndugu/rafiki wa karibu au Mtanzania mwenzetu, tunaomba mchango wako
wa hali na mali ili kufanikisha safari kuwahi mazishi. Kwa maelezo zaidi wasiliana na
 07424796442 au  07758135146, Mtumie na mwenzako.

Thursday 10 May 2012

Friday 16 December 2011

Jipatie kipato kwa kadri unavyo penda kazi zipo kwa kila mmoja



Je unatafuta kazi bila mafanikio? Je unatafuta jinsi ya kukuingizia pesa bila mafanikio? Je wewe ni mwanafunzi unayehitaji kufanya kazi na kujipatia kipato wakati unaendelea na masomo? Je wewe ni mfanyakazi unayehitaji pesa ya ziada kukidhi mahitaji yako? Sasa jibu limepatikana. Bila kuchelewa tafadhali jiunge na bonglob.com. Ni mtandao pekee wa kijamii duniani unaowalipa watumiaji, yaani unakuwezesha kupata pesa kadiri ya unavyoutumia. Unachotakiwa kufanya, bonyeza http://www.bonglob.com uweze kujiandikisha na kuwa na akaunti yako ambayo itakuwezesha kupata pesa kwa kadiri ya pointi utakazoweza kujipatia kwa jinsi ya kuongeza marafiki wengi zaidi na kwa jinsi utakavyokuwa unaitembelea akaunti yako mara kwa mara. Ni rahisi sana kupata pointi, kila siku unapoingia kwenye akaunti yako unajipatia point moja, na pointi mbili kwa kila rafiki unayemwalika. Hivyo ni uamuzi wako kuweza kupata pesa hizi kwa haraka yaani kwa siku moja au vinginevyo. Kila ufikishapo pointi 100 utaanza kulipwa kuanzia dola 120. Malipo yatakuwa kwa njia ya cheque ambayo utatumiwa au paypal.
bonyeza hapa kujiunga

Saturday 9 July 2011

How to employ your self.


Being a self employed is a terrific way to earn a high income on a daily basis (see below).

No set up costs it is free and always will be, and you can develop the amount of work you do to suit your own lifestyleand needs.step-by-step 'insider' bonglob in Nov2011 will help you do this with genuine ease. In straightforward, easy to understand language
"How to Earn £60 A Day while Your Own home or office" explains how, within just a matter of a 1day less than a minute joining, you could be working as a self employed and enjoying the income you always wanted.
The market for this opportunity is HUGE and  guide reveals secrets that NO-ONE else will tell you.
Offer You get free calls, buy sell, job finder, videos and more free.

**********************************************************

Just think about it for a minute; if you're of average intelligence, honest and hardworking,
own (computer and internet) or window mobile phone- then you could be making £620.00 + plus per week.
That's at least £1680 per month and almost £20160.00 a year (allowing you a few weeks off for luxury holidays).

**********************************************************

You can even start part time if you wish and test the water before -in fully. In fact most people
actually start this way. There's an enormous amount of'specialist' market work available; my idea will show you, in stunning detail, exactly HOW and WHERE to get it.

It really is that simple.

My sincere advice is to start bonglob marketing {The work is just simple to ask people to join you in you list}
and start earning in November 2011!

Tuesday 5 July 2011

Tuesday 5 April 2011

Sherehe za kumkaribisha Balozi




Jumuiya ya Watanzania – Tanz UK kwa kushirikiana na T.A Reading inapenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisha rasmi Watanzania wote katika sherehe za kumwalika balozi wetu mpya MH. Peter Kallaghe pamoja na mke wake.
Ratiba ni kama ifuatavyo:
Ijumaa, Tarehe 8/04: Saa 12 (6:00 pm) jioni: Balozi atakaribishwa na viongozi wa Jumuiya.
Jumamosi, Tarehe 9/04: Saa 5 (11:00 am) asubuhi – Saa 9 (3:00pm) Mchana: Balozi atatembelea jumuia na miradi mbalimbali ya kitanzania hapa Reading. Pia Mama balozi atakutana na wakina mama.
Kuanzia Saa 12 Jioni: Balozi atakutana na Watanzania wote katika sherehe za kumkaribisha iliyoandaliwa na Jumuiya kwa kushirikiana na Bongo Djs katika ukumbi wa Wycliffe 233 Kings Road, Reading, Rg1 4ls.
Jumapili,Tarehe 10/04: Balozi kujumuika katika ibada ya kiswahili ambayo itahitimisha ziara yake.
Kwa Maelezo zaidi wasiliana na Ndg. Hussein 07865673756, Ndg. Upete 07796122127, Mama Maria 07919874182.
Mjulishe na mwenzio.
Asanteni.

Sunday 30 January 2011


KARIBUNI NYOTE KWENYE IBADA YA KUWAFARIJI WAFIWA

FAMILIA YA MBARUKU MZEE WA READING INACHUKUA FURSA YA KUWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE POPOTE PALE HASA KWA WALIO HAPA UNITED KINGDOM LEO JIONI, KUANZIA SAA KUMI NA MOJA NA NUSU ,LENGO HASA LA IBADA FUPI NI KUWAFARIJI NA KUWATIA MOYO WAFIWA ,MBARUKU MZAZI WAKE MAUTI ILIMKUTA SIKU YA IJUMAA, HUDUMA YA IBADA ITAFANYWA KWENYE ADDRESS IFUATAYO
ADDRESS: 2 Appleshaw Court , School Rd ,READING. RG31 5AL
TEL: +44 7799435327 - UK

Wednesday 24 November 2010

CELEBRATE TANGANYIKA INDEPENDENCE DAY IN LONDON


Independence Day,
Professional Networking Forum 
and
Welcoming of the Tanzania High Commissioner, 
H.E. Mr Peter A Kallaghe
Stratford Old Town Hall, 29 The Broadway, London E15 4BQ 
Saturday, 11 December 2010 
(14pm – 18pm Professional Networking Forum)
(20pm - 02:30 am – Welcoming H.C.; Website Launch; Dinner and Music)

Tanzanian Associations National in the UK (TANZ-UK) is glad to announce 2010 Tanganyika Independence Day together with Professional Networking with the aim of bringing all Tanzanians together as well as providing a platform for professionals to meet, discuss various issues and creating network and database of professionals for the benefit of all.
The Forum and the Independence Day celebrations will be held on Saturday 11th December at Stratford Hall. Key speakers and other stakeholders will be attending to give their views on matters related to IT, Business and other useful skills.
The welcoming of the new Tanzania High Commissioner and his family in the UK and website launch will follow in the evening alongside music, drinks and other entertainments.
Everyone is invited to attend both afternoon and evening sessions.
Entrance fee is as follows:
Professional Networking Forum -------  free
Independence Day Celebration --------  15pp or 25 per couple
Fee reduced by 5 if you attend both sessions
Dinner is available at low price
A further release will announce the speaker lineup and other relevant information as it becomes available.
For more info go to www.watanzaniauk.com/news and for any further enquiries please see our contact details below.
By Communication Office – TANZ-UK (formerly TA)
mobile no: 07424530228
email: tanzuk@ymail.com
website: www.watanzaniauk.com

Saturday 30 October 2010

SHUKRANI
Marehemu Mchungaji Matiku Thomas Nyitambe

Familia ya Marehemu Mchungaji Matiku Thomas Nyitambe iishio Uingereza na Tanzania, kwa moyo mkunjufu, tunapenda kuchukua nafasi hii kuishukuru Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza, Jumuiya ya watanzania Reading na Slough ,Kanisa La wasabato (Angaza SDA Church -Reading), Madhehebu yote ya kidini hapa UK ,vyama vyote vya kisiasa,Waganga wote kutoka Mkoa wa Mara ,Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na pia bila kusahau blog zote zilizo shiriki kutoa taarifa(Hakingowi,Issa Michuzi,Majid Mjengwa ,TZUK,Watanzaniaoslo,Musoma -tanzania ,wavuti n.k) , kwa kufanikisha shughuli zote za msiba wa Marehemu baba yetu Mchungaji Matiku Thomas Nyitambe ambaye alifariki Kutokana na ajali ya gari tarehe 3/October /2010 na hatimaye kuzikwa tarehe 9 /October/2010 kijijini kwake Kirongwe Tarime MkoaniMara.

Tunapenda pia kutoa shukrani nyingi kwa majirani,ndugu,jamaa na marafiki kwa misaada yenu ya hali na mali ambayo imewezesha familia ya marehemu walioko Uingereza kuweza kuwahi mazishi.

Kwa kuwa ni vigumu kumshukuru kila mtu kipekee, tunasema tu kwamba Asanteni sana kwa michango yenu ya hali na mali ambayo ilisaidia katika mipango na mikakati yote ya kuuhifadhi mwili wa Marehemu hadi kuzika.

Hatuna cha kuwalipa bali tunamwomba Mwenyezi Mungu awajalie na kuwazidishia mibaraka katika shughuli zenu za kila siku.Tumeambatanisha picha za ajali .

Sisi tulimpenda sana Marehemu Nyitambe lakini

Mwenyezi Mungu amempenda zaidi,

Jina la Bwana lihimidiwe.

Asanteni sana

Amen

Monday 25 October 2010

First ever Tanzanian Association Pool Competition

Mshindi wa Mashindano ya pool Alan Kalinga akipewa pongezi na M/hazina Mohammed Upete wakiwa pamoja na mtaalamu wa mchezo wa  pool.
                                    
 Bwana Kisiri akijiseti kucheza mpira wake.
 Mtaalamu wa mchezo wa pool Magola nae hakuwa nyuma.


 Makwaju entertainment kama kawaida yao walitoa show kabambe pamoja na kutoa offer ya chakula kwa wachezaji wote.
 Riziki akimalizia shot ya mwisho wakati alipopambana na kijana wa Makwaju Entertainemnt
 Muda wa maakuli chakula ambacho kiliandaliwa na Uongozi wa Vincents kushirikiana na Makwaju entertainment


Mdau Newton nae hakukosa.

Mambo Hayo

Monday 4 October 2010

MCHUNGAJI MATIKU THOMAS NYITAMBE

Tunasikitika kuwatangazia kifo cha Mchungaji MATIKU THOMAS NYITAMBE

kilichotokea leo huko TARIME, MUSOMA-TANZANIA kwa ajali ya gari.
Marehemu alikuwa anasafiri na mpenzi mkewe ambaye naye inasadikika amepata majeraha.
Ni jioni hii tu ndio ametolewa kwenye chumba cha ICU
(Intensive Care Unit).


Marehemu ni baba mzazi wa:
1. Beatrice Chisumo
2. Veronica Dibogo na,
3. Sony
Ambao wote wapo hapa Uingereza.

Msiba upo
14 Rothwell Walk
Caversham
Reading
RG4 5DB


Kwa mawasiliano zaidi tumia simu zifuatazo:


Benard Chisumo
Mob: (0) 787 612 6862
Home: (0) 118 954 5890


Familia ya Chisumo inapanga kusafiri ikiwa tu watafanikiwa kupata nauli.
Tunaomba ushirikiano wenu katika hili.

Mungu awajalie neema yake.

Tanzia

Tunasikitika kuwatangazia kifo cha Mchungaji MATIKU THOMAS NYITAMBE

kilichotokea leo huko TARIME, MUSOMA-TANZANIA kwa ajali ya gari.

Marehemu alikuwa anasafiri na mpenzi mkewe ambaye naye inasadikika

amepata majeraha. Ni jioni hii tu ndio ametolewa kwenye chumba cha ICU

(Intensive Care Unit).

Marehemu ni baba mzazi wa:

1. Beatrice Nyitambe Chisumo (Mke wa Bernard Chisumo)

2. Mrs Veronica Dibogo na,

3. Soni Nyitambe

ambao wote wapo hapa Uingereza.

Msiba upo
14 Rothwell Walk
Caversham
Reading

RG4 5DB

Kwa mawasiliano zaidi tumia simu zifuatazo:
Bernard Chisumo

Mob: (0) 787 612 6862

Home: (0) 118 954 5890

Saturday 2 October 2010

Tuesday 28 September 2010

NAFASI ZA KAZI

The EastAfrican, Tanzania Country Business Manager...

Senior Relationship Manager - Banque Commerciale d...

Teaching Jobs in Tanzania - Savannah Plains Intern...

Provision of Consultancy Services to Conduct a Tar...

Call for Proposals for Fund for Women’s Property a...

HEAD OF HUMAN RESOURCES - NBC TANZANIA VACANCIES

FINANCE MANAGER JOBS IN TANZANIA

Finance Officer - IMA World Health Tanzania Jobs

Secretary to Deputy Director - International Labou...

FIELD COORDINATOR - ADEPAK FERT

CONSULTANCY TO DEVELOP CLEAN DEVELOPMENT MECHANISM...

Officer - HR & Administration - Silafrica Tanzania...

Officer - Sales & Marketing - Silafrica Tanzania

Sales Officers - Silafrica Tanzania

PUBLIC RELATIONS MANAGER - Mtibwa Sugar Estates

Biomedical Engineer - lCAP

ACCOUNTANT - BUlKA SACCOS

FINANCE MANAGER - INTRAHEALTH TANZANIA

TRAINING AND EMPLOYMENT OPPORTUNITIES

Messenger cum Driver - Bank of India

Risk Manager - Bank of India Tanzania Jobs

Internal Auditor - Bank of India

Procurement Officer - Pharmacess Foundatio

Country Program Coordinator - SWISSAID TANZANIA

Senior Database Administrator ...

Sales Officer Source : Da...

Customer Services Officer ...

Warehouse Officer - 3 Posts ...

Drivers - Medical Stores Department Jobs

Human Officer (Traing and Development) ...

Warehouse Assistant (Normal Warehousing) - 2 Pos...

Human Resource and Administrative Officer - 9 Post...

Human Resource Officer So...

Accountant (Risk Management) ...

Quality Assurance Officer (Management Systems) ...

Senior Network Administrator ...

Senior Database Administrator ...

Web Developer Source : Da...

Help Desk Officer Source ...

Project Site Coordinator - 2 Posts ...

Resource Center Coordinator - 3 Posts ...

Resource Center Coordinator - 3 Posts ...

Health Community Educator ...

Associate Technial Officer ...

Administrative Assistant ...

Accountant cum Administrative Officer ...

Manager - Micro-Economics ...

Principal Research Officer ...

Senior Research Officer - 2 Posts ...

ADCENTS MEDIA VACANCIES

Finance Officer, Liberia

Senior Project Manager/Lead Researcher, Girls in R...

Program Manager: Women's Political Participation

Country Director - Peace Corps

Senior Director, Deputy, Development Policy and Ad...

Senior Director, Public Policy & Advocacy in Inter...

Program Operations Specialist - Management and Adm...

Project Director - Development &Training Services

Program Officer, Africa Division

Global Health & Development Internship

Marketing Officer - Abc Squash Tanzania

Monday 27 September 2010

Disability Help Me

Helping people with disability

APPEAL

Disability Help Me (DHM) is a new and growing charity organization which will enable people with disabilities in Tanzania to achieve more from life and which encourages others to change their attitudes towards disability.

DHM’s services include supporting adults with learning disabilities, physical disabilities, head injury, HIV and degenerative conditions to explore their potential.

HELP US TODAY BY DONATING!

NEW OR USED.

CLOTHES SHOES BOOKS TOYS

WHEELCHAIRS WALKING STICKS SEWING MACHINES

COMPUTERS CYCLING GLOVES BEDDING
&
OTHER ITEMS WILL BE APPRECIATED.

THANKS TO YOU, SOMEONE WILL HAVE SHOES ON THEIR FEET AND CLOTHES ON THEIR BACK TODAY!

THANKS FOR THE WHEELCHAIR; SOMEONE WILL HAVE THEIR PRIVACY AND INDEPENCE!

HELP US MAKE A DIFFERENCE TO SOMEONE.

THANK YOU FOR YOUR SUPPORT.

FOR MORE INFORMATION CONTACT:

CATHERINE MABINA:- 07523358510

VERONICA ABBLEY:- 07788925057

IT UPDATE

http://apprenticeships.qa.com

Sunday 26 September 2010

Tuenzi vya Kwetu

Friday 24 September 2010

Party Mji wa Kusoma


Kitchen party in Reading

Thursday 23 September 2010

Nishati Mbadala

Nishati Mbadala

Tanzania na nchi nyingine mbalimbali za kiafrika zinaweza kunufaika zaidi kama zitaweka kipaumbele utumiaji wa nishati endelevu

(Sustainable Energy) hususani vijiji ili kuleta maendeleo na kupunguza umasikini. Nishati endelevu hutoka kwenye mwangaza wa Jua, Maji, Takataka na Kinyesi cha binadamu na wanyama. Hizi nishati mbadala hutoa umeme na gesi ambazo hutumika majumbani kwa kupikia na kuwasha taa hivyo kusaidia kutunza mazingira yetu na kuondoa utumiaji wa mkaa unaosababisha uharibifu wa mazingira kwa ukataji ovyo wa miti

Urban Pulse inawaletea documentary sehemu ya Pili kwenye version ya kiswahili, Documentary hii mpya ambayo tayari imerushwa hewani kwenye vituo tofauti vya Televiseni za nchi mbalimbali za bara la Ulaya na Afrika na imetafsiriwa katika lugha saba mbalimbali.
 
Documentary hii ambayo Ashden wali wa kamishen URBAN PULSE kuizalisha inaonyesha na kuhamasisha wajasilimali, wananchi namna gani nchini za kiafrika zinavyonufaika na misaada hii kutoka shirika la hili la Ashden Awards For Sustainable Energy.
 
Shirika hili ambalo lina saidia kukuza utumiaji wa nishati endelevu, lina saidia uboreshaji na utunzaji wa mazingira duniani . Shirika hili liliundwa na duka maarufu la familia ya kitajiri ya Sainsbury. Mlezi wa shirika hili ni Mwana Mfalme wa Wales Charles Philip Arthur George
 
Hi ni mojawapo ya project kubwa ambazo zinazalishwa kwenye studio za Urban Pulse Creative

Mh Waziri Mkuu Mstaafu akiwa Reading

Mh Waziri Mkuu Mstaafu akiwa Reading

Mh Waziri Mkuu Mstaafu akiwa Reading

Baadhi ya watanzania wakiwa na Mh Sumayi alipokuwa anaongea nao hivi karibuni.